Flaviana Matata

All Photos Twitter.com
Nimehutubia kwa mara ya kwanza Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa. Nimeihakikishia Dunia kuwa Tanzania ni ileile yenye na amani na ushirikiano na nchi zote, nimeeleza imani yangu kuwa changamoto za dunia tunaweza kuzikabili kwa pamoja ikiwemo janga la Uviko-19.
Retweeted by Flaviana Matata
#DebbieAllen made history at the 73rd Emmys by becoming the first #Black woman to receive the Governors Award. Read more at EBONY.combit.ly/3tY14b6
Retweeted by Flaviana Matata
Kesho 21 Septemba ni #SikuYaAmaniDuniani Je, kama kijana unasaidiaje kudumisha #Amani ya nchi yako?
Retweeted by Flaviana Matata
Sema kuna watu ni nafsi lawama hata mtu afanye nini, kwa hiyo Mama hakutakiwa kwenda NYC?!! Mnaelewa kweli umuhimu wa kilicho mpeleka huko?!
A good day to spoil someone with these beatiful flowers!🌺 Tuko Msasani Karibu na Camel oil na tunapatikana kupitia namba zifuatazo; 0789 706 391 - Airtel 0759 340 780 - Vodacom 0675 643 650 - Tigo #FlowersbyLuxuryEventstzz#GiftsbyluxuryeventstzzQ
Retweeted by Flaviana Matata
Oiiii @rollymsouth kama upo na @YourFrenchFry muongeze kinywaji ntalipa😃
Missing the bridge this year
Mama would have been 62 today. Happy Heavenly Birthday to the QUEEN who gave birth to the champs. We really wish you were here to witness our crazy journeys we are going through but God knows best. LOVE YOU FOREVER 👼�ej
Wanasimba ni watu wenye upendo na ambao tunapenda kusaidia watu wengine. Tujitokeze kuchangia damu ili kuokoa maisha ya wenye uhitaji wa damu. #SimbaDay2021 #OneTeamOneDream #NguvuMoja
Retweeted by Flaviana Matata
Arusha ⁦@NyamaChomaFest⁩ now CONFIRMED confirmed!! Green light! 25.09.2021 - Nane Nane Grounds, Njiro. Finally!! Aisee…Kwa Mbinde but WE MOVE! #WeMove💪�#NyamaChomaFestivalal Arusha. Powered by William Lawson Whisky & Portsman 🙌🏾🙌🏾�o/s56LRXJNx1
Retweeted by Flaviana Matata
Super grateful for my boys Gidi, Benj and Sajjo. Mwenyezi Mungu awaweke🙏🏾
Sema kwangu j3 huwa ngumu sana, nafanya kujilazimisha tu kufanya kazi.
Mkeka huwa unasukwa taratibu na kwa umakini
Hongera nyingi kwa Mawaziri wateule akiwemo @JMakamba Nimefurahi sana kuona Wizara ya Ulinzi imepata waziri wa kwanza mwanamke @DrTaxs na Cv yake imesimama kwelikweli. Power to women✊🏾🇹🇿
Women on the wheel✊🏾✊🏾
Seeeeeem @Semkae Happiest Birthday my friend🎉🎉 i hope you are enjoying your day. Uzee mwema😃
@FlavianaMatata @ꜰʟᴀᴠɪᴀɴᴀ ᴍᴀᴛᴀᴛᴀ ᴛᴜɴᴀᴋᴜᴏᴍʙᴇᴀ ᴍᴜɴɢᴜ ᴀᴋᴜʟɪɴᴅᴇ ɴᴀ ᴜᴛɪᴍɪᴢᴇ ɴᴅᴏᴛᴏ ᴢᴀᴋᴏ ᴛᴜɴᴀᴋᴜᴘᴇɴᴅᴀ💕n
Retweeted by Flaviana Matata
Bado tunaendelea kuangalia ni namna gani sisi na wadau wengine tunaweza vipi kuendeleza hamasa za watoto wa kike kushiriki kwenye michezo mashuleni.#MichezoMashuleni #SportsInSchools
Wiki iliyopita nilialikwa kuwa Mgeni Rasmi kwenye fainali za michezo Benjamini Mkapa na @LAVY_Products tulidhamini medals na hela kwa washindi na washiriki kama zawadi na kutoa hamasa ya michezo mashuleni.
Blessed to see another day🙏🏾
Thank you for the work that you are doing Rahma. twitter.com/rahmabajun/sta…
Jitahidi sana ujifunze kuheshimu muda hususani muda wa wengine.
Creativity…ukizaliwa na hii talanta au ukiweza kujifunza mshukuru sana Mungu. 🙏🏾
Retweeted by Flaviana Matata
Na wale wanao tumia bangi kidogo kama dawa inakuaje?! Asking for a friend in Canada who is planning to visit Tanzania soon😃😃
Just keeping this in my house in case one of my female visitors will have an emergency 🆘@FlavianaMatataa#hedhiSalamaa7
Retweeted by Flaviana Matata
Thank you for allowing my kids to spend as much time as they need with Aunty Flavy even if you end up alone at the house😃 Love you and grateful for our sisterhood.
Happiest Birthday to my bestie, wifi and mother of my kids @JenniferBash We have been through alot together and seeing you become a woman that you are makes me so happy and proud. Keep striving and keep being an amazing Mother.
Toba nayo ni Sala tosha.
Happiest Birthday Mh. @ummymwalimu Blessings Sis🥳🥳🥳🥳
If you have internet access, you also have access to education.
Retweeted by Flaviana Matata
Ni kweli Dada @FlavianaMatata nchi itajengwa na wananchi lakini je, kuna mazingira rafiki ya kumuwezesha huyo mwananchi kuijenga nchi au? Maana ili ng'ombe atoe maziwa anahitaji nyasi nzuri, maji, matunzo mazuri na hata dawa pia.
Retweeted by Flaviana Matata
“Nchi inajengwa na wananchi”
Nimeeleweshwa kuwa unaweza lipa muda wowote ndani ya siku saba. Ahsante @fredkavishe ila watoa huduma ni kwamba hawaza informations za kutosha au inakuaje?
“Don’t copy if you cant paste”.
Hii system mpya ya kulipia parking kama mtu hauna hela kwenye simu inakuaje?! Pia yatolewe mafunzo ya kutosha kwa wakusanyaji maana wanatengeneza foleni na kuchelewesha watu.
@LAVY_Products ni 🔥🔥🔥 yan hata haziumizi ngozi yako wala kucha zako, zipo smooth sana.@FlavianaMatataa#lavyproductscONt
Retweeted by Flaviana Matata
Nawashukuru na ninawapongeza sana waanzilishi wa tuzo hizi kwa kunifanya sehemu ya hili. Nimekutana na wanawake wenzangu wengi na nimejifunza namna vikundi hivi vinavyofanya kazi mbalimbali zenye tija.
Jumapili nilipata fursa ya kuungana na vikundi mbalimbali ya wanawake wa “VICOBA” nikiwa Mgeni Maalum kwa ajili ya kutoa tuzo kwa “Kikoba kilichoongoza kuwekeza kwenye miradi ya ujasiriamali.”
Bwana atakukinga na madhara yote, atayalinda maisha yako, Bwana atakulinda unapoingia na unapotoka, tangu sasa na hata milele. Zaburi 121:7-8 🙏🏽
Retweeted by Flaviana Matata
Life is so fragile aisee🙏🏾
Yanga vipi?! Good morning twitter fam
You don’t have to have your life together to be happy for other people’s win/success.
My 9 and 12 years old nieces can now wear my shoes and clothes!!! Most of my sneakers are gone😃
I hardly attend weddings and when i do, ni bora nikose ukumbini lakini siyo kanisani. Glad i managed to witness mdogo na rafiki yangu @omalichaa__ akifunga ndoa takatifu katika kanisa la Azania jana mchana. #MeetTheKatules
Twiends™ uses the Twitter™ API, displays it's logo & trademarks, and is not endorsed or certified by them. These items remain the property of Twitter. We do not sell followers, we only provide display advertising. Bots & fake accounts are not permitted on twiends. © 2009
Grow Your Twitter Free
Want To Grow Your Twitter?
We help other people find and follow you on Twitter.
Key Info:
Started in 2009
Over 6 million signups
Country targeting provided
We never auto tweet to your timeline
We never auto follow others
We actively moderate our community
Please Share
Please upgrade your browser  chrome