Clouds FM

All Photos Twitter.com
CHUO CHA MAENDELEO NA USIMAMIZI WA MAJI KINAWATANGAZIANAFASI ZA MASOMO KWA MWAKA 2014/2015 KAMA IFUATAVYO;BASIC... fb.me/3xppFa0WE
#XXL #ThrowbackThursdaY #OnAIR, leo ni siku ya kupata raha iliyokamilika kutoka kwenye album ya @AyTanzania... fb.me/7rksFOtPq
Pata mkopo kutoka Bayport wa ardhi yenye hati,viwanja vipo maeneo ya Vikuruti,Kibaha,viwanja vipo 1,878, pata... fb.me/3zajSJhox
Mahija Zayumba, Jackline Kombe, Sophia Kessy, Yahya Mohamed na Haris Kapiga wa Clouds TV wametafakari kwa kina,... fb.me/3bIRvcilJ
Baadhi ya Makada wa CCM, Stephen Wasira, Balozi Amina Salum Ali na Makongoro Nyerere wakiwa tayari wameshachukua... fb.me/26XW0PDZy
Community Account ni Akaunti maalum kwa taasisi ambazo zote ambazo ni wadau wa maendeleo ya jamii, Kama vile... fb.me/3glzeA5s2
Power Breakfast Clouds Fm #OnAIR: Ikiwa hii ni wiki ya Mazingira!! Wewe kama mdau umejipanga kufanya nini ili... fb.me/1PVVQ6ryp
Anza siku yako vizuri kwa kumsikiliza Mr Energy Man "Fredwaa" hewani kwenye Power Breakfast Clouds Fm huku... fb.me/1Dib3TGaR
Msikilize #Diva yupo hewani kwenye #AlaZaRoho akikupa zile stori za kimapenzi, ushauri sambamba na muziki... fb.me/7wyOZenQW
MANCHESTER UNITED IMEWAPIKU BARCELONA NA BAYERN KUMNASA MCHEZAJI HUYU fb.me/7vhjX948P
Meneja wa @tigomusictz @sirballatz akiwakabidhi zawadi za simu Iphone 6 watangazaji wa @cloudsfmtz @BDozen... fb.me/2aRmQSuHe
Endelea kuzungusha kura zako kwenye KTMA katika pingele cha Wimbo Bora wa Reggae/Dance Hall. Kwa kutuma CODE... fb.me/2aX9OhqcO
Je wataka kumjua Mwanafunzi wa Shahada ya Pili ya Utawala wa Umma katika Chuo kikuu Mzumbe aliyetangaza nia ya... fb.me/4tt6kInZd
Hii ndio tatoo mpya ya @RichMavoko na leo wimbo mpya wa #Matonya aliyomshirikisha Mavoko utatambulishwa fb.me/3bmlAuxWw
Isikilize hapa wimbo mpya wa Diamond Platnumz FT Mr Flavour- Nana >>>> hu.lk/12f9m5ka7yl2 fb.me/2JUdUM55O
Nitoboeee? nasema hivi nitoboee? Leo tuna Brand New single toka kwa Matonya aliyomshirikisha Rich Mavoko... fb.me/7npjYNvzV
Wabunge wakilia kwa uchungu baada ya kupokea taarifa ya kifo cha mbunge mwenzao wa Ukonga,Marehemu Eugene... fb.me/1Ny71gqhZ
#SportsUpDates: Real Madrid imemtangaza Rasmi Rafael Benitez kuwa kocha wake mpya kwa kumpa mkataba wa miaka mitatu. fb.me/1E71kKyB5
Niki Wa Pili atamani kuwa raisi wa Tanzania. cloudsfm.com/?p=1849 fb.me/47coW7RDe
#News: Profesa Mark Mwandosya achukua fomu ya kugombea Urais kupitia CCM, muda mfupi uliopita Dodoma. fb.me/7ljbhK3gv
Leo Tena #Hewani ikiwa leo wanafunzi wa shule nyingi za Msingi hapa Tanzania wanafunga!! Hebu tujikumbushe enzi... fb.me/7tSt44TkL
#AccessBank Access bank inakupnguzia adha ya kusima kwenye foleni ukitaka kufanya malipo yako kama ya Dawasco,... fb.me/4cfXj5xOf
Lowassa, Wasira, Mwandosya, Makongoro watafungua lile pazia lla kuchukua fomu za kugombea Urais kupitia Chama cha... fb.me/3ZqlxDayl
Power Breakfast Clouds Fm:Hatimaye Serikali yamaliza mgogoro na wafanyabiashara juu ya matumizi ya mashine za... fb.me/443u1irUh
#AlaZaRoho #OnAIR: Share hapa uzoefu wako kuhusiana na #LoveBite katika mapenzi #Diva ataruka na maoni yake hewani!! fb.me/3Q3jLkEkL
Gumzo linaloitikisa dunia kwa sasa ni hili la Sepp Blater kujiuzulu Rais wa Fifa. Habari zaidi jiunge na... fb.me/7hIhTd6ox
Community Account ni Akaunti maalum kwa taasisi ambazo zote ambazo ni wadau wa maendeleo ya jamii, Kama vile... fb.me/7zDVSiWOY
Nuh Mziwanda amkana msichana aliyedai ana mimba yake. cloudsfm.com/?p=1844 fb.me/7EocTL0GD
Endelea kuzungusha kura zako kwenye KTMA katika pingele cha Video Bora ya Mwaka .Kwa kutuma CODE sahihi kwenda... fb.me/7lEK4U2gR
Breaking News: Mbunge wa Ukonga Eugene Mwaiposa afariki dunia. Taarifa za awali zinasema kuwa mbunge Mwaiposa... fb.me/24W1gnyuw
Zile dakika 180 za muziki mkali pamoja na stori za kijanja huku zile request zako zikihusika hewani ndani ya... fb.me/7iveNl3G0
Kesho Waziri wa Uchukuzi Samuel John Sitta kesho Jumatano nae atatangaza nia ya kugombea uraisi! #Urais2015 fb.me/2WqgZmcdv
Wananchi wa mkoa wa Mbeya wajitokeza kwa wingi kumsikiliza Prof. Mark Mwandosya akitangaza nia ya urais.... fb.me/urhoRTGm
Kitazame kichupa kipya cha Iyanya ft Diamond Platnumz -Nakupenda.....kisha utoe maoni yako kichupa hiki... fb.me/22RNkrEVf
Unawezaje kutambua dalili za mtu mwenye mafanikio? Mwanasaikolojia Chriss Mauki atakuja kufunguka kwenye Leo Tena... fb.me/21vQm9nMh
BEI YA MAFUTA YASHUKA KWENYE SOKO LA DUNIA Bei ya mafuta jana ilishuka kutokana na kutokuwepo kwa dalili ya... fb.me/3KYCqjK9I
Patrick Viera, kiungo wa zamani wa Arsenal na Manchester City yuko katika orodha ya watu wanne waliochujwa... fb.me/6C7jOVnaA
#PJ anasikika hewani katika Power Breakfast Clouds Fm akiperuzi na kudadisi magazeti ya leo, huku mengi... fb.me/4iR9NC44L
Kama kijana una mtazamo gani katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu? Maoni yako yatasomwa hewani na... fb.me/40P7boZnY
Mtegee sikio #Diva yuko hewani kwenye #AlaZaRoho na leo ana bonge la #ExclusiveInterview na #ZamaradiMketema. So... fb.me/7zrWfvGPH
Pata Pay slips zenye nembo ya shule BURE...! Fungua KCB Community Account. Kujiunga nao waandikie leo kupitia... fb.me/3PpUgC2cg
Ule muda umefika wa kupata ule mtiririko wa stori 10 za siku toka kwa #MwanaDSM "Musa Hussein" hewani kwenye... fb.me/6F6ihDJ2b
Mwanadada Rose imemfika hapaaaaaa "Nampenda Nuh Mziwanda nina mimba yake na nitamzalia" U heard isikilize hapa... fb.me/1F8OLqZOW
Unataka nyumba zenye ulinzi wa kutosha bhasi NHC wamekuandalia nyumba kwa ajili yako ambazo zipo Morocco... fb.me/7t0x9ahYU
Wakati wa uchaguzi mara nyingi wananchi huwa wanarubuniwa kwa rushwa unadhani nini kifanyike ili kuweza kuzuia... fb.me/7ppS1nOcO
Vijana wa Kinondoni wakionesha vipaji vyao kwenye Usahili wa Kinondoni Talent Search (KTS) fb.me/3NsjPjwE8
Wakati wa uchaguzi mara nyingi wananchi huwa wanarubuniwa kwa rushwa unadhani nini kifanyike ili kuweza kuzuia... fb.me/1TCWuzV79
Twiends™ uses the Twitter™ API, displays it's logo & trademarks, and is not endorsed or certified by them. These items remain the property of Twitter. We do not sell followers, we only provide display advertising. Bots & fake accounts are not permitted on twiends. © 2009
Grow Your Twitter Free
Want To Grow Your Twitter?
We help other people find and follow you on Twitter.
Key Info:
Started in 2009
Over 6 million signups
Country targeting provided
We never auto tweet to your timeline
We never auto follow others
We actively moderate our community
Please Share
Please upgrade your browser  chrome