@kenyanmemes
*Kulingana na utafiti wangu*
1: Huezi hesabu nywele zako
2: Huezi ona maskio yako
3: huezi pumua ulimi ikiwa nje
5: Najua umejaribu namba 3
6: najua umecheka hadi ukasahau
namba 4
7: ona sasa umerudi kuconfirm
ππππ₯π₯π₯π₯